Roma baada ya kuagana na Rose alichukua uelekeo wa Kwenda Moroco , yalipo makao makuu ya kampuni ya Vecto Media , alikuwa akihitaji kujua ni nini kinaendelea.
Wakati akiwa anatoka kwenye makazi hayo ya The Eagles alikuwa ashawasiliana na Sophia na kumpa maelekezo ya kukutana Moroco.
Roma alijiambia angalau anapaswa kuwa kama kichwa cha familia , kwani Sophia tayari alikuwa ni mwanafamilia na Edna na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments