HONGKONG
Ni moja ya mgahawa mkubwa na maarufu sana ndani yajiji la HongKong ,mgahawa unaofahamikakwajina la Ling Sichuan King anaonekana mrembo Clark akiwa kwenye meza moja na mwanaume kwenye Kona ndani ya mgahawa huo, mwanaume huyo akiwa ni mzungu, mwanaume huyu hakuwa mwingine bali alikuwa ni Edward kutoka ukoo wa Rothchild.
Huyu Edward ni yule aliekuwa akiambata na Malkia Catherine na tulimuona kule Ufaransa wakati …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments