Siku hio hio ya ijumaa ndani ya ofisi ya mrembo Edna , alionekana Amiri akiwa katika maongezi na Boss wake na maongezi hayo yalionyesha kuwa muhimu Zaidi kwani kuna muda Amiri alikuwa akimpatia baadhi ya karatasi na Edna alizisoma na ambapo hajaelewa ,Amiri alikuwa akipatolea maelezo.
Kitu ambacho Amiri alikuwa akimwabia Edna ilikuwa ni swala juu ya mkataba wa kibiashara uliovunjwa na serikali ya Jamhuri …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments