Reader Settings

Sio kwamba familia ya Sophia ilikuwa imemtelekeza moja kwa moja , bali ukweli ni kwamba mama yake Sophia alikuwa akiwasiliana kwa takribani kila wiki na Edna na kumuulizia hali ya mtoto wake.

Sasa mama yake Sophia siku zote ni mtu mpenda ukweli na hata aliposikia mpango wa mume wake kutaka kumuozesha mtoto wake kwa mume wa Edna swala hilo hakuliafiki kabisa na ndio maana wiki …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next