Saa zilipita nilipokuwa nalia juu ya kaburi la mama yangu. Na siku yenyewe ikapita pia. Ilikuwa usiku tena kabla sijaweza hata kufikiria kuondoka kwake, au hata kujiuliza nifanye nini sasa. Na ndipo nikakumbuka maneno yake aliyonambia usiku uliopita. Nilikuwa nimeahidi nitafanya alichoniomba. Nilikuwa nimeahidi. Nilipaswa kuitunza ahadi hiyo. Lakini kwanza...
Nilifuta machozi yangu, nikajaribu kutafuta utulivu wa kufanya kile kilichopaswa kufanya. Nikatafuta sehemu tulivu ndani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments