Blandina alishangaa sana kuambiwa anasubiriwa na Raisi Senga pamoja na Kamau , alishindwa kuelewa ni kitu gani kinaendelea hapo ndani.
Mtu wa kwanza kumuona wakati akielekea ndani ya ofisi ya mkuu wa kituo ni rafiki yake Tabea au mama Issa, licha ya kwamaba hawakuongea lakini Blandina aliweza kufahamu kuna jambo ambalo lilikuwa likiendelea ndani ya hiki kituo.
Blandina aliongozwa na Dondwe mpaka ndani ya ofisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments