“Edna kuanzia sasa wewe unahesabika kama sehemu ya familia yetu na mimi kama mzee wa familia hii , niseme kwamba nimekupokea”Aliongea Mzee Kweka.
Muda huu ni wakati ambao Roma alikuwa akiongea na Zenzhei, ndio muda ambao Afande Kweka alipata wasaa wa kuongea na Edna.
“Asante sana babu”Alijibu Edna , ukweli hakujua hata ajibu vipi , lakini kwa hatua ambayo imefikia mpaka hapo aliamini hana ujanja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments