Reader Settings

Ni saa tatu asubuhi Roma na Nasra walionekana wakiwa kwenye barabara ya Bagamoyo Road wakipita Bagamoyo mjini kuelekea Msata.

Nasra alikuwa amevaa mavazi ya kidini kabisa siku hio alikuwa amependeza haswa na kuonekana mrembo Zaidi , kwa jinsi ambavyo alikuwa akionekana ilionyesha ni dhaihiri kabisa alikuwa akiendelea nyumbani.

Muda wote alionekana kucheka cheka , hakuamini kama alikuwa akielekea na mwanaume anaempenda nyumbani kwao , aliamini …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next