“Atakuwa ni nani?”Aliuliza Nasra kwa hofu mno.
“Ngoja nitajua”Aliongea Roma huku akifungua mkanda wa gari na kufungua mlango.
“Roma usiende inawezekana kuwa ni kiumbe kibaya na kinaweza kutuzuru”Aliongea Nasra akimshika mkono Roma.
“Babe Nasra usiwe na wasiwasi , hakuna kiumbe ambacho kinauwezo wa kunizuru”Aliongea Roma na kushuka , huku akiacha kujali mvua iliokuwa ikinyesha.
Roma bila ya wasiwasi alisogea mpaka alipoketi yule mwanamke na kuanza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments