Hakuna kitu ambacho kinaleta furaha kama kuungana kwa mara nyingine na mtu ambaye unampenda sana baada ya kutokuonana kwa muda mrefu, Sio Nasra sio mama yake wote walishindwa kujizuia na kuanza kulia wote kwa pamoja.
Ilionekana wanakijiji wote walikuwa wakifahamu Nasra alikuwa akimiliki gari na ndio maana baada ya kuona gari barabarani upande mwingine wa Kijiji ndio walitoka na kusimama hapo nje kwa ajili ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments