Edna alikuja kushituka ikiwa ni usiku kabisa muda wa saa mbili , akiwa amelala kwenye zuria la manyoya, mrembo huyu alijinyanyua kivivu na kukaa kitandani huku taulo alilovalia kuusaliti mwili wake,.
Hakuelewa ni nini kimemsababishia kuuma kwa kichwa ,katika akili yake hakuweza tena kukumbuka kumbukumbu ambazo zilikuwa zikipita kwenye kichwa chake , alichokumbuka muda huo ni maumivu makali ya kichwa ya ghalfa , maumivu ambayo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments