Reader Settings

Christine alifanya utundu wake wote kwa kutumia uzoefu wa Zaidi ya miaka 1000 yote alioweza kuishi hapa Duniani , lakini Roma hakuchukua hatua ya kumshughulikia mrembo huyo , kitendp ambacho kilimfanya Christine kukata tamaa na kuvaa taulo lake na kuketi kwenye Sofa.

“Hades ni lini utaniambia sababu ya wewe kunikataa , licha ya juhudi zangu nilizoweka miaka na miaka kukupata?”Aliuliza Chrisitne huku akiweka sura ambayo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next