Zawadi ambayo Edna amemletea Roma ilikuwa simu ya Sumsung Galaxy S23 Ultra iliotengenezwa na madini ya Gold ,ni simu ambayo Edna aliweza kuinunua kwa spesho oda ya kiasi cha shilingi milioni tano, zawadi haikuwa moja tu lakini pia Edna alikuwa amemnunulia Roma Saaa ya Patek Phillipe saa ambayo ilimgharimu dollar elfu therathini na mbili za Kimarekani , ukizileta kibongo bongo ni Zaidi ya milioni sitini, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments