Reader Settings

Roma baada ya kusikia kugongwa kwa Mlango aliishia njiani na kisha akampiga Amina kibao kwenye makalio na kisha akamwambia ajiweke sawa nywele zake ambazo zimechanguka changuka.

Amina alielewa somo na haraka haraka alijiweka sawa na kisha akasimama kama Sekretary kweli karibu na meza ya Roma.

“Please Come in”Aliongea Roma na palepale mlango ulisukumwa taratibu mpaka ukawa wazi, Sasa sura ambayo ilikuwa mbele yake Roma hakuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next