Ilipita wiki nzima pasipo ya Edna na Roma kuongeleshana, Edna alijua mambo yake na Roma hivyo hivyo alijua mambo yake.
Roma aliendelea na kazi yake katika kampuni , uwepo wa Amina ndani ya kampuni ulisaidia sana kutokana na uzoefu wa Amina , kazi hio alionekana kuipenda kweli na kilichomfurahisha Zaidi ni Projekti ya Kizazi Nyota.
Umaarufu aliokuwa nao Amina tokea akifanya kazi na kituo cha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments