“Edna I missed you so much , very happy to see you again”
“Edna nilikumisi sana , nimefurahi Zaidi kukuona kwa mara nyingine”
“Mimi pia Rich, karibu Tanzania”Aliongea Edna ,mwanaume mzungu mkononi akiwa ameshikilia mbwa mdogo mweupe pamoja na mkoba.
Edna alionekana kuwa na furaha isiokuwa ya kifani , kwa jinsia mbavyo alikuwa akionekana ni kama vile mtu aliekuwa mbele yake walipotezana kwa miaka mingi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments