Ilikuwa ni siku ya Jumanne , Roma alirudi nyumbani kwenye muda wa saa moja asubuhi maana usiku mzima hakuwa amelela nyumbani, muda ambao alirudi Edna alikuwa tayari ashaondoka na alijua hilo baada ya kutokuoona gari yake.
Roma aliingia ndani ya nyumba yao na kupokelewa na Bi Wema na Qiang XI ambao walikuwa wakiendelea na majukumu ya kuweka sawa usafi wa nyunba ,Roma alisalimiana nao na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments