Amina alimuomba Edna msamaha kwa kile kilichotokea wiki iliopita na kueleza kwamba haikuwa nia yake ya kumgombanisha yeye na Roma , Edna alimsikiliza Amina kwa kila alichoongea na akahitimisha kwamba anaomba kuendelea kuwa Sekretary wa Roma kwani hana nia mbaya na kampuni na kumuahidi kwamba atawezekeza nguvu zake zote kuhakikisha kampuni ya Vexto inapata umaarufu ndani ya muda mfupi kwa kupitia uzoefu wake alioupata kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments