Edna alionekana kama hakuwa akiamini kile ambacho alikuwa amekisoma alibeba tena ile bahasha na kuangalia ndani kama kuna kitu kingine zaidi ya ile karatasi na ni kweli ndani yake kulikuwa na picha mbili.
Edna alizitoa na kuanza kuangalia moja moja na alijikuta akishika moyo wake , watu wawili waliokuwa kwenye picha ya pamoja alikuwa akiwajua, mmoja akiwa ni mama yake Raheli na mwingine akiwa ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments