Edna sasa alielewa kwanini Blandina alisema kwamba picha hio alikuwa amepiga yeye, kumbe alishawahi kukutana na Raisi Jeremy huko Australia akiwa na mama yake wakila bata.
Roma mwenyewe alishangaa kumbe mama yake ni msomi mkubwa tu, lakini hata hivyo ilikuwa ni halali kabisa, kwani mambo ambayo Blandina aliweza kuyafanya kwa jamii kupitia sura ya Maina yalikuwa makubwa sana, kwani kama utaweza kupiga hesabu ya thamani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments