Reader Settings

SEPTEMBER 2013- IKULU DAR-ES SALAAM

Ni mwezi wa tisa mwaka 2013, ikiwa ni miezi miwili pekee tokea Tanzania iweke historia ya kutembelewa na raisi wa taifa kubwa la Marekani ndugu Barack Mabo.

Siku hio ndani ya ikulu ,mheshimiwa Kigombola alionekana kwenye ofisi yake akiwa na msaidizi wake wa karibu bwana Erick Dastani wakiwa kwenye mazungumzo.

Erick Dastani ndio alikuwa akiongoza kitengo cha usalama ndani ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next