Dr Elvice Daniel Temba ni moja ya madaktari waliokuwa wakiaminiwa sana ndani ya hospitali ya kitaifa ya Muhimbili, uwezo wake wa kufanya tiba kwa magonjwa yaliokuwa yakihusiana na uzazi ulimpatia umaarufu mkubwa kiasi kwamba alitokea kupendwa na wagonjwa wengi.
Licha pia ya kuwa daktari maarufu lakini pia alikuwa ni kijana mdogo sana mwenye mwonekano wa kuvutia jambo ambalo lilifanya kila mwanamke ambaye anamtibia kumtamani kimapenzi.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments