Reader Settings

Sasa basi baada ya Elvice kumtumbulia siri Raheli ndio mapambano ya chini kwa chini yalipoanza , Elvice akawa mtu aliebeneti zaidi na Raheli huku shauku yake ikiwa ni kujua juu ya swala la Mpango LADO , wakati huo huo Raheli akinuia kumtafuta mtoto wake kwa namna yoyote ile.

Mbinu moja ambayo aliamini inaweza kumuwezesha kumuokoa Lorraine ni kuwa na pesa nyingi sana , aliamini kama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next