Hakukuwa na muda wa kusimama mlangoni na kuulizana kwani wageni wengine walikuwa wakiingia na shughuli yenyewe ndio kwanza ilikuwa ikianza.
Mhudumu alipewa maagizo ya kumpeleka Roma mpaka eneo la VIP kwani alikuwa ndio Director wa kampuni ya Vexto Media , mwanadada yule aliefahamika kwa Asha alishangaa huku akimpa Roma heshima yake na kumpeleka eneo la VIP.
Roma baada ya kukaa kuna jambo lilimfanya kutamani kucheka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments