Reader Settings

Wote kwa pamoja walitega masikio yao wakimsikiliza Denisi mpango ambao unakwenda kufanyika kwa ajili ya Roma kudhibitiwa, Denisi alionekana kuwa na akili licha ya kwmaba pombe zilikuwa zimemkaa kichwani.

“Kuna mpango unaandaliwa na mtu mmoja mkubwa sana , siwezi kuwaambia kila kitu , lakini mnachaotakiwa kuelewa muda si mrefu yule choko atadhibitiwa”Aliongea Denisi.

“Tupe hata fununu , nini kinaendelea Mr Denisi , wote hapa Roma …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next