Reader Settings

Edna baada ya kuingia chumba anacholala Qiang Xi ilibidi amsogelee kwanza na kuanza kumbembeleza , Qiang Xi alionekana alikuwa akijikaza tu tokea asubuhi ila hakuwa na amani kabisa na muda huo kwake ilionena ilikuwa muda sahihi wa kuanza kuangaua kilio , mwanamke huyo wa kichina alionekna kuwa kwenye hali ya majonzi.

“Qiang Xi niambie ni nini kinaendelea, kwanini unalia hivi kama umefiwa?”Aliuliza Edna kwa upole …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next