Reader Settings

Edna baada ya kusikia maneno ya Roma alijikuta akifikiria kwa dakika kadhaa , ni kama alikuwa akisharabu maneno yake na aliishia kumwangalia Roma na kutoa tabasamu pasipo ya kutoa jibu na kumchanganya Roma Zaidi , kwani alishindwa kujua ni jibu gani Edna alikuwa akilifikisha kwake kwa kutumia tabasamu.

“Tuaongea kuhusu hili , Lanlan twende tukacheze na marafiki zako wapya”Aliongea Edna pasipo ya kusubiria neno kutoka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next