Roma tokea apewe mkufu wenye kidani na Yezi kule kigamboni, kwanzia siku ile alikuwa akitembea nao kwa kuuvaa shingoni mara kwa mara na alichukulia kama sehemu ya zawadi aliopewa na Yezi baada ya kubadilishana na pesa.
Roma alikuwa akikumbuka kwamba kidani hicho ndio kitu pekee kama kumbukumbu alichokutwa nacho Yezi akiwa kichanga mbele ya geti la kituo cha kulelea yatima Kiwangwa miaka iliopita , kitu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments