Reader Settings

Edna tokea jana yake kumtambulisha Roma hadharani kama mume wake , ukweli hakuwa na wasiwasi kabisa na ilikuwa kwake ni kama mapenzi yake yaliongezeka Zaidi juu ya Roma na kumchukulia siriasi tofauti na siku kadhaa nyuma , alijiambia kitendo alichofanya jana ni sahihi na hakuna namna ambayo atajutia.

Siku ya jana yake wakati wanarudi nyumbani Edna na Roma waliweza kuongea wakiwa kwenye gari juu ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next