Reader Settings

Mwanaume aliewasogelea Kizwe alikuwa ni Ernest Komwe CEO msaidizi wa kampuni ya Vexto Group Limited.

Kizwe alimpa ishara Ernest kukaa chini na yule mwanaume ambaye alikuwa akiongea na Kizwe alimwangalia Ernest kwa namna ya kumchunguza.

“Ndio huyu?”Aliuliza akiwa kama ni mwenye mashaka.

“Ndio ,huyu ni Ernest Komwe , kwasasa anafanya kazi ndani ya kampuni ya Vexto kama CEO msaidizi”Aliongea Kizwe na yule mzee alishangaa kidogo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next