Roma kwa kumwangalia tu Mama Nasra ni kama aliona kuna kitu hakipo sawa , ila hakutaka kuuliza maswali kwani yeye ndio ameitwa , alitaka kujua kwanza ni kipi ambacho mama huyo alikuwa akitaka kuzungumza nae.
“Mr Roma naomba unisamehe kwa kukutoa kazini , najua ulikuwa na majukumu”Aliongea Mama Nasra.
“Usijali Mama , sehemu ninayofanyia kazi na hapa sio mbali na huu muda ulikuwa wa chakula …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments