Jumatatu ndio ilikuwa siku ambayo Roma na Edna walianza kulala pamoja huku Lanlan akihamia chumbani kwa mlezi wake Qiang, Edna kwenye siku ya kwanza alionekana kuwa na wasiwasi mno na Roma alilitambua hilo na aliona ni wajibu wake kumtoa wasiwasi mke wake.
“Wife huna haja ya kuwa na wasiwasi”
“Nani kasema nina wasiwasi?”Alijibu Edna huku akijibaraguza , alikuwa na aibu kweli ya kufanya baadhi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments