Ilionekana pia Blandina aliwasiliana na Edna pia kumuelezea kile kinachoendelea ndio maana alirudi nyumbani haraka haraka, akiwa kama haamini kama kweli ndugu zake na Yezi wamejitokeza baada ya miaka mingi.
Edna hakujali wanaume hao walivyokuwa wakimwangalia kwa mshangao , bali alisogea na Kwenda kuketi kando ya Roma kwenye sofa na kuweka mkoba wake pembeni.
“Kama wewe ni Park JongHyun basi naamini babu yake na Yezi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments