Zikiwa zimebaki siku kadhaa kufikia tarehe ya Vexto kuweza kuanza usambazaji wa malighafi mpya kupitia mkataba waliosaini na kampuni ya Yamakuza wakishirikiana na kampuni ya Maple Group.
Ikiwa ni siku ya ijumaa , Roma akiwa nyumbani kwa Nasra akimbembeleza mama yake na Nasra kumkubalia ili kuendelea na mtoto wake, Nasra aliekaa pembeni aliweza kupokea simu kutoka kwa mafanyakazi aliekuwa akikamu nafasi yake ya uhasibu ndani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments