Mzee Alex awamu hii afya yake ilionekana kuboresheka kwa kiasi kikubwa , kwani hata tembea yake ilikuwa imebadilika sana na hakuwa akitumia tena mkongojo wa kutembelea kama alivyoondoka hapa Tanzania kwa mara ya mwisho baada ya kukorofishana na Roma.
Mzee huyo alitabasamu sana kuwaona Watoto wake wakiwa wamependeza wakiwa na afya bora.
“Dadi tulikumisi sana , jamani umezidi kupendeza”Aliongea Matilda huku akipenda kumbatio na baba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments