Kwenye kampuni ni wengi walikuwa wakimfahamu Roma kama mume wa Edna , lakiini hata hivyo hawakushangaa sana uwepo wake, kwani yeye pia ni moja ya wafanyakazi wa ngazi ya juu wa kampuni , walichotegemea ni kutaka kusikia Roma alikuwa akitaka kuongea nini kwa kuingia kwa kuchelewa.
“Nilikuwa nikiwasikiliza kwa muda nikiwa nje ya mlango na maongezi yenu sijaona yakibeba suluhisho la maana juu ya swala …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments