Reader Settings

Harufu iliofifia ya ‘Sanitizer’ ndani ya wodi hio ilifurahisha pua zao kwa kiasi fulani , huku ukimya pia ukitawala, Edna alikuwa akifikiria maneno aliongea Roma ya juu ya kunyofoa moyo wake na kumuonyesha jinsi anavyojisikia .

“Hakuna maneno mazuri Zaidi ya kuongea mpaka useme unataka kunyofoa moyo wako?”

“Unafikiri hata nikitumia maneno mzuri zaidi unaweza kunisikiliza na kunielewa , chukua maji na sukutua kidogo, ijapokuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next