Edna alipotezea swali la Roma na alichokuwa akitaka ni kujua Zaidi kuhusu mahusiano ya Monica na Ernest Komwe , Edna licha ya kwamba Monica alikuwa ni sekretari wake , lakini alijiambia ni kweli hakuwa akijua Maisha yake , kwani tokea aanze kumfahamu hakuwahi hata kumuuliza kama ana mchumba , labda ni kutokana na tabia ya Edna kutopenda sana maswala ya mahusiano ndio maana alishindwa kugundua.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments