Siku ya jumatatu mchana hali iliendelea kuwa mbaya kwani licha ya kwamba Edna alitoa maagizo ya hisa za kampuni kununuliwa mafungu mafungu , lakini bado hali haikutengemaa kutoka na mwelekeo wa chini wa soko, lakini mbinu hio waiendelea nayo , idara ya fedha ilihakikisha wananunua hisa za kampuni kila baada ya dakika kumi na tano kwa mafungu ya tahamni ya dola elfu moja kwa akaunti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments