Reader Settings

Roma alijikuta akitabasamu kwa uchungu kutokana na maneno ya Edna , aliamini wanawake wengi wako hivyo kuwa na moyo mwepesi sana , hivyo kuua kwao ni jambo gumu sana kufanyika kwa upande wao.

“Wanawake wote mko hivyo lakini kama angekuwa Rose ingekuwa Habari nyingine , angetuma watu wake wamletee kichwa tu, kwenye sinia”

“Wewe subuthuu., usimtumie Rose kuniamsha nakuambia , Siwezi kuwa kama yeye,harafu hujaniambia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next