Kwa jinsi Edna alivyoongea , hakuna hata mmoja ambaye alimtilia maanani , ni kama vile kila mtu alikata tamaa, huku wafanyakazi hao wakiangaliana , kwani walishindwa kujua maana ya maneno yake ya *start now* yanamaanisha nini.
“Boss Edna hakuna haja ya kusita sita Zaidi , tunatakiwa kufanya kitu sio kukata tamaa”Aliongea mmoja wao baada ya Edna kurudisha simu chini.
“Naunga mkono hoja , hatuwezi kuangalia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments