Reader Settings

Edna alimwangalia Roma kwa jinsi alivyokuwa siriasi na swali lake na alijikuta akiamua kumueleza namna ilivyokuwa.

“Nilianza maandalizi mara baada ya kuja kwa Ernest Komwe ndani ya kampuni yangu kama CEO msaidizi”Aliongea Edna na kumfanya Roma kushangaa.

“Nini kilikufanya ukachukua tahadhari , kwa ninavyofahamu Erest alichaguliwa na Tikayi kutoka kampuni ya Yamakuza kuja ndani ya kampuni kwa ajili ya kukupa msaada katika maswala ya malighafi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next