Reader Settings

“Ooh! Jamani , sikutegemea kama utaifahamu hii sehemu mapema mno kuliko nilivyotarajia”Aliongea Kizwe huku akimwangalia Roma kwa sura iliojaa kejeli.

Ernest mara baada ya kumuona Roma , lakini pia kuona kwamba Kizwe hana mpango wa kumuua tena , alikimbilia na Kwenda kujikusanya kwenye kona ndani ya eneo hilo la sebuleni akimwacha ‘First Lady’ kuendelea na Roma.

Roma alijisogeza mpaka katikati, huku akimwangalia Ernest aliejikusanya kwenye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next