“Nadhani mpaka sasa unaona kwamba kampuni ilikua yetu kutoka mwanzo ni Raheli tu ndio aliisaliti familia yetu , na kuacha jina la babu yangu Karimu kuendelea kuchafuka mpaka leo hii”Aliongea Ernest kwa hisia.
“Unamaanisha nini kuchafuka kwa jina la babu yako?”Aliuliza Roma na Kizwwe aliachia cheko.
“Nilichokuelezea ni nusu tu ya ukweli juu ya kile kilichotokea , ukweli ni kwamba kila kitu ilikuwa ni mipango …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments