Reader Settings

Roma kwa mara ya kwanza alimsikia Edna akiwa kwenye hali ya kuomba sana na kwa vyovyote aliona huenda Kizwe kapata udhaifu wa kumshika Edna ndio maana alikuwa akiongea kwa sauti ya kubembeleza.

“Okey nielezee kwanza ni nini kinaendelea..”Aliongea Roma.

“Familia ya Kayage iliopo huko Marekani Firstlady ameiteka , mjomba na famiia yote ipo kwenye himaya yake , sitaki kitu chochote kiwakute kwani mimi na mama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next