Ernest alimwangalia Kizwe aliejilaza chini akiwa hana fahamu na kisha alimgeukia Roma na kuona yupo siriasi, alimgeukia Monica ambaye amepoteza fahamu na kisha akamrudia kumwangalia Roma.
“Naomba nimtoe hapa Monica kwanza kabla sijafanya kitendo hicho”Aliongea
“Kwanini , Monica hana fahamu huyo na hawezi kujua?”
“Ni kweli lakini siwezi kumvua mwanamke mwingine nguo , wakati yupo mbele yangu nitakuwa nimemkosea heshima yeye na mwanangu , nipe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments