Reader Settings

Benadetha alijikuta akishangaa mara baada ya kumuona Roma akiwa kwenye meza yao , ukweli mrembo huyu kama mwanamke alishindwa kunyanyuka hapo na kuondoka aliona ingekuwa dharau sana kwa upande wake , yaani kitendo cha Yakobo kumuita mwanamke hapo na kuanza kuonyesheana mapenzi mbele yake, kilimuumiza sana na alikuwa akihitaji namna ya kuondoka mahali hapo kwa kumkomesha Yakobo kwa kumpotezea muda wake , lakini pia kumdhalilisha, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next