Reader Settings

Upande wa nyumbani usiku wa saa sita, Edna alionekana akiwa amekaa eneo la sebuleni akiwa peke yake , akiwa amejikunyata kwenye sofa akiwa amevalia gauni la kulalia ambalo liliacha miguu yake ilionona wazi , TV ilikuwa imezimwa na kitu kikubwa ambacho alikuwa akiangalia kwa namna ya kushangaa ilikuwa ni miguu yake , alikuwa ameipandisha kwenye sofa huku akichezesha vidole vya miguu na kuviangalia na kila …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next