Licha ya Roma kuwa katika hali ya msisimko , lakini alijikuta akiuhusudu uwezo wa Omari kugeuza maji kuwa siraha , Roma alikuwa akielewa katika ulimwengu wa majini kila kitu kinaweza kugeuzwa kimaajabu na kuwa siraha. Lakini licha ya kusikia juu ya habari hizo hakuwahi kushuhudia kwa macho, licha ya kwamba alikuwa amejifunza mbinu za kijini kupitia kwa Master Chi hakuwahi kufika ujinini kabisa na kushuhudia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments