Saa kumi na moja kamili za asubuhi ndio muda ambao Roma aliweza kurudi nyumbani Roma mara baada ya mapambano yake na Omari kuisha yeye aliendelea kubakia ndani ya eneo hilohilo bila kuondoka , alikuwa akitafakari Zaidi kuhusu mbinu za kijini , alitamani sana kupanda levo za juu Zaidi ili kuwa na uwezo mkubwa wa kimapambano pasipo ya kupitia mabadiliko yoyote ya kimwili.
Roma alijiambia kama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments